ANGALIA PICHA -UZINDUZI WA KAMPENI ZA MAGUFULI JIJINI DAR ES SALAAM ,KUNA MAFURIKO YA HATARI



Safari ya kuelekea Ikulu ya mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, imeanza leo jijini Dar es Salaam.


Magufuli na mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan wameshiriki ufunguzi wa kampeni za chama hicho kwenye viwanja vya Jangwani.

Ni takribani siku mbili baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kuwapitisha rasmi juzi wagombea wa vyama vinane vya siasa akiwamo Magufuli.Hizi ni baadhi ya picha kutoka eneo la tukio.



Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli akihutubia halaiki iliyohudhuria uzinduzi wa kampeni zake katika viwanja vya Jwangwani jijini Dar es Salaam leo Agosti 23,2015.


Wananchi wakidhibitiwa na polisi
Msanii Diamond akitumbuiza.




Wananchi waliojitokeza katika ufunguzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam leo.

ANGALIA PICHA NYINGI ZAIDI HAPA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527