Wasukuma Shikamoo!!! ANGALIA VIDEO/SHOW YA MSANII MWANAKWELA WA KAHAMA,NI BALAA,NGOMA INAITWA "CREAM"


Nimekusogezea Show iliyofanywa na mkali wa nyimbo za asili kutoka Bugomba B,Kahama mkoani Shinyanga "Mwanakwela" wimbo unaitwa "Cream".Show ilifanyika Uluguru wilayani Itilima mkoani Simiyu..Mwanakwela ni miongoni mwa wasanii wa nyimbo za asili kutoka kanda ya ziwa mwenye wanenguaji matata na wenye manjonjo ya hapa na pale.ITAZAME HAPA CHINI NI NZURI SANA MTU WANGU,KUNA WATU WAMEJALIWA KUKATIKA,WANAZUNGUSHA VIUNO KAMA FENI


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527