Breaking News-BASI LA UNIQUE LAGONGANA NA LORI LA COCACOLA SHINYANGA LAUA WENGI



Kumetokea ajali basi la Unique Express lenye namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora kugongana na lori la kampuni la Cocacola katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye  wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga.

Watu 10  wamefariki dunia na majeruhi 50 wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527