KENYA WAADHIMISHA SIKU YA MAKAHABA - WENYEWE WATAKA KUTAMBULIWA RASMI

Kundi la wanawake wanaofanya biashara ya kujiuza nchini Kenya limefanya maandamano kuadhimisha siku ya makahaba duniani jana December 17, lengo lake ni kukomesha dhuluma dhidi yao.
Wanawake hao waliandamana ofisi ya Jaji Mkuu Willy Mutunga wakitaka Serikali kuwapa nafasi ya kuwatambua rasmi na wawe walipa kodi halali kama ilivyo kwa wafanyabishara wengine.
Waandamanaji hao wameishutumu Serikali kwa kuruhusu ukiukwaji wa haki zao za kibinadamu kwa kutokana na kesi ambazo huwa zinawahusu kutochukuliwa hatua za kisheria.



Nilikurekodia video wakati habari hiyo ikiripotiwa na kituo cha K24, unaweza kubonyeza play kuisikiliza na kutazama.




Mpenzi Msomaji,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527