BAADA YA JAJI WEREMA KUJIUZULU- RAIS KIKWETE ATEUA MWANASHERIA MWINGINE


Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Justice Ibrahim Juma kuwa mwanasheria mkuu wa serikali (AG).
Uteuzi huo umefuatia baada ya aliyekuwa mwanasheria mkuu Frederick Werema kutangaza kujiuzulu kutokana na skandali ya mabilioni ya akaunti ya Escrow.

Mapema mwezi huu Rais Jakaya Kikwete pia alimteua Profesa Juma Assad (CAG) kuwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali baada ya Ludovick Utouh kumaliza muda wake.

 Mpenzi Msomaji,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527