KAMERA YETU LEO KISHAPU_KWA HALI HII,AJALI ZITAENDELEA KUGHARIMU MAISHA YA WATANZANIA

TUNATAKA TUKUTUMIE HABARI ZETU ZOTE MARA TU TUNAPOZIWEKA MTANDAONI,BONYEZA HAPA UJIUNGE NASI MARA MOJA
Hapa ni katika eneo la njia panda ya kuelekea halmashauri ya mji mdogo wa Kishapu wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ambako kamera ya Malunde1 blog imenasa gari ndogo ikiwa imejaza watu wakielekea Kishapu.Kama gari ndogo inajaza watu wengi namna hiyo,je wahusika wa usalama barabarani hamuoni haya? au mnataka hadi ajali itokee ndiyo mjitokeze kukemea wanaosababisha ajali?
Safari kuelekea Kishapu,wengine wanachungulia kwa dereva wakiomba kupanda kwenye gari pamoja na kwamba wanaona limejaa
TUNATAKA TUKUTUMIE HABARI ZETU ZOTE MARA TU TUNAPOZIWEKA MTANDAONI,BONYEZA HAPA UJIUNGE NASI MARA MOJA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527