BASI UNAAMBIWA HAWA NDIYO WANAWAKE WAWILI MATAJIRI KUTOKA AFRIKA KATI YA MATAJIRI 50 DUNIANI


Isabela dos Santos
Isabela dos Santos
Unajua kwamba kwenye listi ya matajiri 50 Afrika kuna wanawake wawili wanaoingia kwenye listi ya matajiri hao?
Jarida la Forbes lilitoa listi ya matajiri hao ambapo Aliko Dangote mfanyabiashara kutoka Nigeria anaongoza kwenye listi hiyo.
Wanawake hao wawili ni Isabel dos Santos ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amewekeza kwenye miradi mbalimbali ikiwemo kampuni za mitandao ya simu za mkononi ni mwanamke tajiri zaidi ambaye ameingia kwenye listi hiyo, pamoja na Folorunsho Alakija ambaye ni mfanyabiashara na mwanamitindo wa Nigeria.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527