ANGALIA PICHA_ TRENI YAANGUKA JIJINI DAR ES SALAAM



 Treni imeangusha behewa  maeneo ya Vingunguti jijini Dar es salaam. Habari zinasema kuwa reli imeharibika vibaya.Muda mfupi baada ya kutokea kwa ajali hiyo ffu walifika eneo la tukio ili kuhakikisha usalama wa raia na mali zao unakuwepo. Walioshuhudia tukio hili wanasema katika eneo hilo kulikuwa na kontena za mohamed enterprises na Azam.Chanzo kinatajwa kuwa ni kukatika kwa Pin Lock.







VIA>>MATUKIOTZ

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527