Makubwa Haya _WATU WANNE WAKUTWA WAKILIMA UCHI WA MNYAMA SHAMBANI HUKO SIMIYU,WADAI MAREHEMU BABU YAO ALITOA WOSIA

Jeshi la polisi  Mkoani Simiyu linawashikilia watu wanne wa familia
moja kwa tuhuma ya kukutwa wakilima uchi wa mnyama shambani kwa kile
kinachodaiwa  kuwa ni imani za kishirikina.

Kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu Venansi Kimario
alisema tukio hilo limetokea septemba 2 majira ya saa 12 asubuhi
katika kijiji cha Bushikwamala kata ya Kalemela wilayani Busega Mkoani
Simiyu

Kimario alisema kuwa watu hao walikamatwa na jeshi la polisi alfajiri
huko Bushigwamhala wakiwa wanalima kwenye shamba lao na walipohojiwa
walidai kuwa walielekezwa na babu yao kipindi cha uhai wake kuwa
wakilima uchi watapata mavuno  mengi.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII HAPA


TUNAPENDA TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA TU ZINAPOTOKEA, LIKE PAGE YETU SASA HIVI UENDE NA WAKATI. BONYEZA HAYA MANENO

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527