TAZAMA PICHA_HILI NDIYO LORI/FUSO LILILOUA WAFANYABIASHARA WATATU NA KUJERUHI 46 LEO HUKO KISHAPU-SHINYANGA


lori lenye namba za usajili T680 ARL aina ya Fuso lililokuwa limepakiza mizigo na wafanyabiashara ambao idadi yao bado haijajulikana  likitokea kijiji cha Kiloleli wilayani Kishapu kwenda katika mnada wa Mhunze uliopo Kishapu,likiwa katika eneo la tukio katika kijiji cha Usunga kilometa chache kufika eneo la mnada
Wakazi wa kijiji cha Uchunga wakiwa katika eneo la tukio leo.
Wafanyabiashara watatu wamepoteza maisha na wengine 46 wamejeruhiwa vibaya.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527