TAZAMA PICHA_ HII NDIYO HALI HALISI MJINI SHINYANGA

Hii ndiyo hali halisi katika barabara nyingi mjini Shinyanga.Hapa ni katika barabara karibu na kanisa kubwa la KKKT mjini Shinyanga ambako kamera zetu zimenasa magari yakiwa yameegeshwa pande zote mbili za barabara hali ambayo imeelezwa kuchangia kusababisha ajali za barabarani,na baadhi ya wananchi walioongea na mtandao huu walihoji "Kitengo cha usalama barabarani kipo wapi?,ina maana hakioni haya kwenye barabara zetu,kila mahali ni parking?,au mpaka waone ajali zimetokea ndiyo waoneshe makucha yao?"
Double Parking kila barabara mjini Shinyanga

 Nyuma ya soko kuu mjini Shinyanga

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527