Picha zinatisha sana_KIJANA APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU


Baada ya madaktari wa hospitali ya rufaa ya Bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliyefumaniwa na mke wa mtu huko Mwanza hatimaye wamefanikiwa kumtoa shoka kichwani na hali yake bado mbaya yuko ICU kwa uangalizi zaidi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527