Makubwa haya!!! MTOTO AZAA NA MTOTO MWENZIE,YADAIWA WAKO KWENYE MAHUSIANO YA KIMAPENZI KWA ZAIDI YA MWAKA MMOJA

Katika hali ya kushangaza huku wengine wakidhani pengine ni laana,huko nchini Uingereza mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 13 amempatia ujauzito mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 12,ambapo inadaiwa watoto hao wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa zaidi ya mwaka mmoja na kupelekea kuanza majukumu ya baba na mama .Inadaiwa kuwa  watoto hao pengine huenda wakawa ndiyo wazazi wenye umri mdogo zaidi duniani.

BOFYA HAPA KUSOMA HABARI HII KWA KINA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments